MAOMBEZI
Karibu kwa maombi yoyote unayotaka BWANA akutendee,
kumbuka si sisi tutendao ila ni YESU KRISTO na ROHO MTAKATIFU
wakitimiza Mapenzi ya Mungu ndani yako. Umbali nasi usikutishe wala kukukatishatamaa
YESU KRISTO yuko karibu nawe kuliko hata nywele zako.
tuma maombi yako kwa njia tulizoweka kwenye ukurasa wa nyumbani,(home)
karibu sana
MAWASILIANO:
simu +255 719 687343
No comments:
Post a Comment