USHUHUDA


KWANINI UTOE USHUHUDA?  

 Ushuhuda ni tendo la kuelezea mambo makuu amabayo umetendewa. unapotoa ushuhuda haina maana unataka usifiwe ila unataka watu wamjue Mungu wa Israel kuwa yeye ndo aliyefanya. ushuhuda ni sehemu ya kumpa Mungu utukufu. hebu tusome pamoja mistari hii

  • zaburi  105: 1 "haleluya. mshukuruni BWANA, liitieni jina lake, wajulisheni watu matendo yake"

    • isaya 12: 4 "... yatangazeni matendo yake kati ya mataifa, litajeni jina lake kuwa limetukuka" 

      heri yule asiyemwonea haya Mungu wa Israel, yuko tayari kuwaeleza wengine mambo yale aliyoyatendewa na Mungu wa Israel


Kuwa huru kumuinua Mungu wa Israel kwa matendo makuu aliyo kutendea, ili Sifa na utukufu wake ujulikane kwa kila mwenye mwili. Karibu kwa ushuhuda. 

tuma ushuhuda wako kwa njia hizi hapa chini

KARIBU

MAWASILIANO:
simu +255 719 687343
 

No comments:

Post a Comment